Tuesday, August 6, 2013

MWIGULU AZINDUA ALBUM YA "HESABU BARAKA" YAKE JOYCE MWAIKOFU

Picha za matukio ya uzinduzi wa album iitwayo "Hesabu Baraka" ya mwimbaji wa injili nchini mama mchungaji Joyce Mwaikofu, uzinduzi ambao umefanyika siku ya jumapili katika viwanja vya kanisa la E.A.G.T Kipunguni Ukonga, mgeni rasmi akiwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mheshimiwa Mwigulu Nchemba ambaye pia ndiye mmiliki wa picha hizi.
Joyce Mwaikofu akiimba katika uzinduzi wa album yake.
Mwigulu akizungumza jambo.
Ambwene Mwasongwe akiteta jambo na Mwigulu.
Habari na Gospel Kitaa

No comments:

Post a Comment