‘…CHAGUENI HIVI LEO MTAKAYEMTUMIKIA… MIMI NA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA (YOSHUA 24:15).
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA chagueni hivi leo mtakayemtumikia, mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA’. Jambo la kutia moyo ni kwamba wale nao wakajibu ‘sisi nasi tutamtumikia BWANA’. Tunaomba Mungu atupe neema yake ili nasi leo tuahidi kumtumikia BWANA kwa vipaji vyetu, mali, akili na nguvu katika maisha yetu. Mungu awabariki.
No comments:
Post a Comment