Wednesday, August 14, 2013
MAKAMU WA RAIS MISRI, EL BARDAE AJIUZULU
Huku mamia wakizidi kuripotiwa kuuwawa nchini Misri.
Makamu wa rais Misri, Mohamed El Baradei amejiuzulu kutoka kwenye serikali ya mpito.
Ghasia zinaelezwa kuendelea kutokea kwenye mitaa mbalimbali ya miji nchini humo.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment