Monday, August 12, 2013

KKKT DAYOSISI YA IRINGA YATEMBELEWEWA NA WAGENI KUPITIA GLOBAL VOLUNTEERS

Pichani Meneja wa Shirika la Globala Volunteers Tanzania Mwl  Edward Mgeni akitambulisha wageni waliofika katika Ofisi za Dayosisi leo hii huku Afisa Mafunzo wa Dayosisi Mchungaji elisande Mhanga akifuatilia utambulisho huo
Afisa Mafunzo wa Dayosisi Mchungaji Elisande Mhanga akiwakaribisha wageni hao
     Hawa ndiyo  wageni waliofika katika Ofisi za Dayosisi leo hii

No comments:

Post a Comment