Sunday, August 18, 2013

KATIBU MKUU MPYA WA SADC ALA KIAPO LEO HII HUKO MALAWI


Dr.Stergomena Tax akila kiapo mbele ya jaji Mkuu wa malawi Mh.Anastazia Msoza wakati wa  Mkutano wa 33 wa  nchi wanachama wa SADC huko Lilongwe Malawi

Picha na Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment