Friday, August 2, 2013

HATIMAYE WAZIRI MKUU WA THAILAND AONDOKA


Waziri Mkuu wa Thailand akiwasili uwanja wa ngege huku akiwa ameambatana na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete akipunga mtoto kama ishara kumuaga Waziri Mkuu wa Thailand

Waziri Mkuu wa Thailand akipunga mkono kuwaaga wananchi akiwemo mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete

No comments:

Post a Comment