Monday, August 19, 2013

Bagamoyo yatenga mil. 25/- kwa Ukimwi

WAKATI ufadhili katika masuala ya huduma za Ukimwi nchini ukielekea ukingoni, Halmashauri ya Manispaa ya Bagamoyo, imetangaza kutenga Sh milioni 25 kuanzia msimu wa 2013-2014 kwa ajili ya kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa huo. 
Chanzo http://www.habarileo.co.tz

No comments:

Post a Comment