Katibu Mkuu wa Dayosisi Bw. Nayman Chavalla akimkaribisha Baba Askofu Dr. Owdenburg M.Mdegella ili aweze kuwasalimu Watumishi wa Ofisi Kuu katika Chapel ya Ofisi Kuu leo hii
Baba Askofu Dr. Owdenburg M.Mdegella akitoa salamu zake kwa Watumishi wa Ofisi Kuu katika Chapel ya Ofisi Kuu leo hii. Aliwataka kufanya kazi kwa bidii na kuona kwamba Mungu atawauliza siku moja ni jambo lipi waliloliacha hapa duniani.
No comments:
Post a Comment