Thursday, August 1, 2013

WAZIRI MKUU WA THAILAND ATEMBELEA HIFADHI YA SERENGETI


Waziri Mkuu wa Thailand akiwasili katika uwanja wa ndege wa Seronera,Serengeti leo hii huku akilakiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Barozi Hamis Kagasheki.

Habari na Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment