Wednesday, July 24, 2013

WAGENI TOKA LEIPZIG UJERUMANI WAKIENDELEA NA ZIARA YAO HAPA IRINGA NA SASA WAPO KATIKA STUDIO ZA REDIO FURAHA 96.7 FM NA BAADAYE KATIKA CHUO KIKUU IRINGA

                                                       Karibuni Redioni




































 Meneja Vipindi wa Radio Furaha Bi. Tukukuswiga Mwaisumbi akiwaelekeza Wageni namna redio Inavyofanya kazi








     Mtangazaji wa Radio Furaha Leila Kazimoto akiwa katika kazi


     Meneja wa Radio Furaha Bw. Protas kanemela akiwa na Susane Kuester




       Nisafari ya kuelekea Chuo Kikuu Iringa







     Hapa Susane Kuester akiwa na Afisa Utawala wa Chuo Kikuu Iringa



     Afisa Habari na Mawasiliano wa Chuo Kikuu Iringa Bi. Agnes Kitundu akiwa na wageni








      Wenzi wa Wachungaji wakiwasiliza wageni toka Leipzig





       Mtheologia Jiskaka Lwila akijitambulisha mbele ya wenzi wa Wachungaji hawapo pichani








Mama Waltraud  Grabowski huyu alifanya kazi kwa kujitolea miaka ya 1969 huko Kibosho Tanzania

No comments:

Post a Comment