Sunday, July 14, 2013

SNOWDEN ANA NYARAKA AMBAZO ZINAWEZA KUILETEA MAREKANI MADHARA MAKUBWA.

  Snowden ana nyaraka ambazo zinaweza kuiletea Marekani madhara makubwa. 


Watch this video
kijana Snowden anapozungumza akiwa Russia

 Hayo yalisemwa na mwandishi wa habari wa marekani.Pia  amesema kwamba halikuwa lengo la kijana huyo(Snowden)  kuiumiza Marekani,hata hivyo kijana huyo alisema ana  idadi kubwa ya nyaraka ambazo watu wamekuwa wakitumia bila uangalifu katika kusalimisha haki zao kwa  faragha. Hata hivyo kijana huyo ameweza kutoa nyaraka hizo kwa baadhi ya waandishi.

Hivyo serikali ya Marekani imeaswa kuwa makini hii ikiwa na  kwamba kisiweze kutokea kitu chochote kwa kijana huyo kwani wanaweza wakajiweka katika hali mbaya na ya kutatanisha.

Hata hivyo Kristinn Hrafnsson,alisema kuwa kuna siri zingine zihusuzo Marekani ambazo zitaweza kuwa wazi.

kwahabari zaidi tembelea;http://edition.cnn.com/2013/07/14/politics/nsa-leak-greenwald/index.html?hpt=hp_t

imeandaliwa na: Happy adam

No comments:

Post a Comment