Wednesday, July 17, 2013

SEMINA YA MATUMIZI YA MAKAZI NA MISIMBO YA SIMU YA POSTA


Naibu Katibu Mkuu ,Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Technolojia Profesa  Makunga akifuangua semina elekezi kwa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara zote  zilizopo  Jijini Dar es Saalam kwa ajili ya kuwajengea uelewa pamoja na  kuhamasisha matumizi ya anwani za makazi na misimbo ya posta

Naibu Katibu Mkuu ,Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Technolojia Profesa  Makunga  akipongezwa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya posta na Mamlaka ya mawasiliano Bi. Rehema Makubwi mara baada ya kufungua semina elekezi kwa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara zote  zilizopo  Jijini Dar es Saalam kwa ajili ya kuwajengea uelewa pamoja na  kuhamasisha matumizi ya anwani za makazi na misimbo ya posta

Habari na Picha kwa hisani ya Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment