Thursday, July 18, 2013

RC aagiza wanaokiuka vipimo wakamatwe

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Dk Christine Ishengoma amewaagiza Wakala wa Vipimo mkoani Iringa kuanza operesheni ya kukamata wakulima na wafanyabiashara wanaokiuka sheria ya vipimo .Kwa habari zaidi inngia hapa www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/14271-rc-aagiza-wanaokiuka-vipimo-wakamatwe


No comments:

Post a Comment