NI KATIKA ZIARA YA UZINDUZI WA MIRADI MBALIMBALI

Rais Jakaya Kikwete akikat utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma -Lusaunga katika Wilaya ya Biharamulo

Rais Jakaya Kikwete akishiriki kupiga ngoma kuzindua ujenzi wa kivuko cha Mv. Ruvuvu katika mto Rusumo

Rais Jakaya Kikwete akivikwa vazi al heshima kuashiria kusimikwa kwake kuwa Chifu wa Wahaya
No comments:
Post a Comment