Wednesday, July 24, 2013

KKKT DAYOSISI YA IRINGA YAWAPOKEA WAGENI TOKA LEIPZIG UJERUMANI


                   Katibu Mkuu  Bw. Nayman Chavalla akiwakaribisha wageni toka Leipzig
     Katibu Muhtasi wa Katibu Mkuu wa Leipzig Tanzania akitambulisha wageni aliofuatana nao

      Ahsanteni sana kwa ukaribisho wenu Mungu awabariki
      Katibu Mkuu akiwapa mkono kama ishara ya kuwakaribisha
      Tunashukuru sana kwa  ushirikiano wenu na misaada yenu
   Watumishi wa Dayosisi wakiwa na wageni katika Ibada ya asubuhi ya leo hii
    Mtheologia Gisikaka Lwila akijitambulisha

                             Haya tuendelee na huduma hii aliyotupa Mungu





     Katibu Mkuu akiwa mbele kabisa akiwapa  wageni taarifa ya Dayosisi kwa ufupi



No comments:

Post a Comment