Monday, July 29, 2013

AJALI MBAYA YATOKEA HUKO ITALIA KATIKA MJI WA AVELLINO,WATU 38 WAFARIKI.

Basi dogo aina ya Kosta limegongana na baadhi ya magari mengine  baada ya kuwa katika mwendo kasi na kusababisha ajali mbaya.

Hilo ndilo kosta ambalo lilipinduka mara tu baada ya kuwa katika mwendo kasi na kuwa katika maeneo yenye mteremko mkali sana.
Watu kumi wajeruhiwa baadhi yao waokolewa, pia vyombo vya habari vyaripoti kuwa kosta lilibeba watu zaidi ya 50 wakiwemo watoto.
Pia dereva wa kosta hilo alipotiwa kuwa ni moja kati ya wale walioaga dunia.


No comments:

Post a Comment