Saturday, July 20, 2013

Afungwa kwa rushwa ya kuuza ardhi kwa wageni

MWENYEKITI wa Kitongoji cha Kwemakumbi katika Kijiji cha Kireguru Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Hamza Rajabu Ngaramilo (56), amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ili kugawa ardhi kwa wahamiaji wageni kijijini hapo
Ingia hapa kuendelea ili kuisoma
www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/14329-afungwa-kwa-rushwa-ya-kuuza-ardhi-kwa-wageni

No comments:

Post a Comment