Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, August 18, 2013

KKKT DAYOSISI YA IRINDA YAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA VYOMBO VYA MUZIKI VYA KWAYA YA MUHIMIDINI YA KANISA KUU LA KKKT IRINGA MJINI LEO HII KATIKA PICHA . NA NI ZAIDI YA MILIONI KUMI NA TISA ZIMEPATIKANA IKIWA NI AHADI NA FEDHA TASLIM HUKU LENGO LILIKUWA NI KUPATA MILIONI KUMI NA TISA

MBUNGE wa Igunga Dk. Peter  Dalali Kafumu amefanikiwa kuchangisha zaidi ya shilingi milioni 19.6 katika harambee ya kuchangia vyombo vya muziki vya kwaya ya Muhidini ya Kanisa Kuu la KKKT Iringa kati ya hizo shilingi milioni 12.1 zilikuwa ahadi.
Harambee hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki katika Kanisa Kuu la KKKT  Iringa na mgeni Rasmi alikuwa Dk. Peter Dalali Kafumu akisindikizwa na wabunge wa viti maalum Martha Mlata na Lita Kabati na kufanikisha harambee hiyo kuweza timiza lengo la shilingi milioni 19 zilizohitajika kununuia vifaa vya muziki.
Kafumu katika harambee hiyo aliweza kuchangia kinanda chenye thamani ya shilingi laki 7 na shilingi milioni 1 papo hapo na mbunge wa viti maalum Mkoa wa Iringa Lita Kabati alichangia vifaa vya muziki vya Snake Wire na Solo Effect vyote vikiwa na thamani ya shilingi laki 6 na shilingi laki 2 papo kwa papo na Martha Mlata alichangia shilingi laki 9.2.
BABA ASKOFU DR. OWDENBURG MOSES MDEGELLA AKIWAKARIBISHA WAGENI
 MH. RITTA SEMOTTO KABATI MBUNGE VITI MAALUM  AMBAYE NI MLEZI WA KWAYA HIYO AKIWATAMBULISHA WAGENI  ALIOFUATANA NAO
      HAPA NI MH. MARTHA MLATA AKIJITAMBULISHA
         MH. DR. PETER KAFUMU MBUNGE WA IGUNGA AMBAYE NDIYE MGENI MGENI RASMI KATIKA HARAMBEE HIYO
     MHE. MARTHA MLATA AKIMSIFU MUNGU  KWA WIMBO WAKE "USEMAO UHIMIDIWE MUNGU WETU HALELUYA, MATENDO YAKO NI YA AJABU"
      MH. DR. KAFUMU  AKIFURAHIA JAMBO NA MH. RITTA KABATI HUKU HARAMBEE IKIENDELEA
        HAYA NI CHANGIZO SASA













   MH. DR. PETER KAFUMU AKITOA MCHANGO WAKE YEYE,FAMILIA NA MARAFIKI ZAKE 


























BABA ASKOFU AKIONESHA UMAHIRI WAKE KATIKA KUIMBA
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment