Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, March 27, 2017

DAYOSISI YA IRINGA YAENDELEA KUWEKA HISTORIA KATIKA KANISA LA KILUTHERI NCHINI TANZANIA BAADA YA MCHUNGAJI UPENDO FILANGALI KOKO KUBARIKIWA KUWA MKUU WA JIMBO MWANAMKE WA PILI AKIFUATA NYAYO ZA MTANGULIZI WAKE ALIYESTAAFU MCHUNGAJI AGNES KULANGA KATIKA IBADA ILIYOONGOZWA NA BABA ASKOFU MSTAAFU DKT. OWDENBURG MOSES MDEGELLA ILIYOFANYIKA JANA 26.03.2017 KATIKA USHARIKA WA KIHESA IRINGA MJINI.

      ASKOFU MSTAAFU DKT. OWDENBURG MOSSE MDEGELLA AKIWA NA MKUU WA JIMBO LA KASKAZINI - KIHESA MCHUNGAJI UPENDO FILANGALI KOKO MARA BAADA YA KUBARIKIWA KUWA MKUU WA JIMBO HILO KATIKA IBADA ILIYOFANYIKA JANA KATIKA USHARIKA WA KIHESA WA  DAYOSISI YA IRINGA .

 BAADHI YA WACHUNGAJI NA WASHARIKA WALIOHUDHURIAA IBADA HIYO KATIKA JIMBO LA KASKAZINI - KIHESA  AMBAO WALISHUHUDIA DAYOSISI HIYO IKIENDELEA KUWEKA HISTORIA  KWA KUMPATA MKUU WA JIMBO WA PILI MWAAMKEE  WA DAYOSISI HIYO TANGU IANZISHWE MWAKA 1987 AMBAPO MCHUNGAJI UPENDO FILANGALI KOKO ALIBARIKIWA KUWA MKUU WA JIMBO  LA KASKAZINI KATIKA IBADA ILIYOFANYIKA 26.03.2017 JANA KATIKA USHARIKA WA KIHESA WA  DAYOSISI YA IRINGA .

PICHANI  WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO MCHUNGAJI GAITANI MKEMWA AMBAYE NI MCHUNGAJI MWENZA WA USHARIKA WA KIHESA  AKIWA NA MCHUNGAJI  OMBENI SAWIKE CHUSI WA USHARIKA WA MKIMBIZI  WAKIFFUATIKIA KWA MAKINI TENDO LA IBADA HIYO MAALUM   AMBAPO MCHUNGAJI UPENDO FILANGALI KOKO ALIBARIKIWA KUWA MKUU WA JIMBO  LA KASKAZINI KATIKA IBADA ILIYOFANYIKA 26.03.2017 JANA KATIKA USHARIKA WA KIHESA WA  DAYOSISI YA IRINGA .
WAGEI MBALIMBALI WAKITOA SALAM ZAO MARA BAADA YA  KUSHUHUDIA DAYOSISI HIYO IKIENDELEA KUWEKA HISTORIA  KWA KUMPATA MKUU WA JIMBO WA PILI MWAAMKEE  WA DAYOSISI HIYO TANGU IANZISHWE MWAKA 1987 AMBAPO MCHUNGAJI UPENDO FILANGALI KOKO ALIBARIKIWA KUWA MKUU WA JIMBO  LA KASKAZINI KATIKA IBADA ILIYOFANYIKA 26.03.2017 JANA KATIKA USHARIKA WA 
KIHESA WA  DAYOSISI YA IRINGA MWENYE MIWANI NI BWANA NAYMAN ASANJE CHAVALLA NA MWENYE JOHO NI MCHUNGAJI ADELA  KIVEREGE .
ASKOFU MSTAAFU DKT. OWDENBURG MOSSE MDEGELLA AKIWA NA MKUU WA JIMBO LA KASKAZINI - KIHESA MCHUNGAJI UPENDO FILANGALI KOKO MARA BAADA YA KUBARIKIWA KUWA MKUU WA JIMBO HILO KATIKA IBADA ILIYOFANYIKA JANA KATIKA USHARIKA WA KIHESA WA  DAYOSISI YA IRINGA HAPA MKUU WA JIMBO AKIWA KATIKA TAFAKARI.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment