Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, February 20, 2017

ASKOFU DKT. MDEGELLA AACHA HISTORIA NI YA KUBARIKI WACHUNGAJI KWA MARA YA MWISHO KAMA ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA IRINGA. NI KATIKA IBADA MAALUM ILIYOFANYIKA KATIKA USHARIKA WA MKIMBIZI IRINGA MJINI JANA.

Image may contain: 27 people
Pichani Askofu Dkt. Owdenburg Moses Mdegella mwenye kofia na fimbo akiwa na  katika picha ya pamoja na Wachungaji wote na hawa wa mbele kabisa ni baadhi ya Wachungaji waliobarikiwa siku ya jana 19.02.2017 katika Usharika wa Mkimbizi uliopo Iringa Mjini.





Image may contain: 23 people
Pichani aliyeshika kamera ni Mchungaji Elisande Mhanga ambaye ni Afisa Mafuzno wa KKKT Dayosisi ya Iringa na nyuma yake mwenye miwani ni Mchungaji Lusungu Msigwa ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa KKKT Dayosisi ya iringa na ule wa Mtakatifu Paulo kule Minesota nchini Marekani maarufu kwa jina la Bega kwa Bega na baadhi ya watoto walioshiriki ibada hiyo jana 19.02.2017 iliyofanyika katika Usharika wa Mkimbizi Iringa Mjini.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment